Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Habari zenu wapendwa katika mimi!

Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.

Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.

Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill

Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.

Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.

joanah
 
Russ - nightmare(NOTE hapa nilipo naickiliza)
Russ-- wife you up

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Johnny be good by Peter Tosh
Habari zenu wapendwa katika mimi!

kuna wakati fulani unaeza ukaskiliza nyimbo moja ata wiki nzima, hii huwa inatokana na aina ya nyimbo, pia hiyo nyimbo umeitafuta kwa mda gand

My self nna nyimbo ambazo nshawai sikiliza non stop
Do better. by Chris's brown
Die for you by The weekend
When i was your man by Bruno Mars
Why not me by Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme by Prosper ochimana
Mockingbird by Eminem
Reminder by The weekend
Stupid love by Jason Derulo
1942 flow by Meek Mill

Kwangu mi hizo ndo nyimbo ambazo nshawai sikiliza bila kuzichoka

Share na wewe ili tupate kuujua mziki mzuri

joanah

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Testament Ya Bowule (Lutumba Simaro) - Franco & le T.P. O.K. Jazz 1986

Bado nausikiliza usiku na mchana na haunichoshi, niliupata kutoka kwa baba yangu.
 
  • St Anna Choir Yombo dovya _ Mbingu zinahubiri
  • The Go Go _ Vacation
 
Back
Top Bottom