Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J lo ft Fat joe huwa siichoki hata mimi.. iyo nyimbo imetulia sanaHeart break hotel- Whitney Houston
My love is your luv- Whitney Houston
Say- Method Man ft Lauryn Heel
Hold u down- J.lo ft Fat Joe
Nimezama Rex- Ray c
Wutang Clan ft Ton Braxton
Hold ya head up- Biggie ft Bob Marley
Habari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.
Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill
Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.
Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.
joanah
J lo ft Fat joe huwa siichoki hata mimi.. iyo nyimbo imetulia sana
Koffi Olomide- Albamu ya Affare D' Etate na Album ya Monde ArabeHabari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.
Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill
Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.
Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.
joanah
Beyonce na shakira-beautiful liar hii ni best kwa muda wote
Walter chilambo-only you hii kila nikikasirika inanishusha hasira sijawahi kuichoka [emoji23]
Tupo pamoja ila mwezangu umeniacha hapo kwa Walter chilamboNina play lists zangu ambazo huwa sizichoki....ni nyingi sanaaaa
The weekend-Blinding lights
Maroon 5-Memories,girls like you
Bruno mars na cardi B-Please me
Lil wayne na swizz beatz-uproar
Dj khaleed-hold you down,gold slugs
Beyonce na shakira-beautiful liar hii ni best kwa muda wote
Walter chilambo-only you hii kila nikikasirika inanishusha hasira sijawahi kuichoka 😂
😂 😁😁😁😁😁😁😁 you made me smilePaka mate iteleze kama nyoka pangoni!
iyo ngoma tamuiyanya - kukere
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Koffi Olomide- Albamu ya Affare D' Etate na Album ya Monde Arabe
iyo I said I love but I lied tamu sanaHapo kwenye Beautiful lier ongezea nyimbo ya Michael Bolton and Agness_ Said I love you but I lied.
Kwa Walter Chilambo ongezea nyimbo zifuatazo kama unapenda.
*Hillsongs Choir_Behold, You are My Strength, Lord of Lords na Savior King.
*Chris Tomlin_ Lord I need you
*Steven Samwel Devasy_ Lord I need You.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja ila mwezangu umeniacha hapo kwa Walter chilambo
iyo blinding light nshakesha nayo sana ila Leo ngoja nijaribu kumsikiliza chilambo si unajua mapenzi ni kujifunza kupenda anachopenda mwenzio
moja ya wimbo wangu nnaoupenda.Acha wiki mimi nina mwaka wa sita sasa nasikiliza wimbo wa MAHER ZAIN- forgive me na hauchuji kwangu