Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Calma remix Pedro capo Ft Farruko
Calma alan walker remix

Subeme la radio Enrique ft descemer ....

On my way farruko ft alan walker
Emmelie hollow ft alan walker lily

Nf -Mansion

Nf-You are special


African Giant album Ya Burna
African giant -Burna
Anybody
Dangote
Difference ft Jr Gong Marley ft Angelique kidjo
Wetin man go do

ed sheeran I see fire from Desolation of smaug


Zipo mingi acha niishie hapa ......illenium ft lennon stella ft Chainsmokers -Take away....
 
Habari zenu wapendwa katika mimi!

Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.

Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.

Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill

Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.

Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.

joanah

1942 Flows

Meek namkubali sanaaaa
Kuna na hii hapa yupo na post malone On the road dah
Sichikagi hizo songs


Ongezea Post malone ft Quavo-Congratulations
Post malone ft Dolla 💰 sign -Psycho
post malone-Better now
 
My teacher always used to tell me "You gon'
lose nigga!"
That's why I never went to school nigga
And why I'm rappin' like I got somethin' to
prove nigga


Meek Mill alichana kwa hisia sana hii ngoma.
 
i
1942 Flows

Meek namkubali sanaaaa
Kuna na hii hapa yupo na post malone On the road dah
Sichikagi hizo songs


Ongezea Post malone ft Quavo-Congratulations
Post malone ft Dolla 💰 sign -Psycho
post malone-Better now
iyo on the road naruka nayo sana sema we Tafuta hizi za Meek Mill
Philadelphia born and raised (hii ata mwenyewe meek huwa anakili ndo ngoma yake kali)
Ready or not
My life yupo na Montana
Ricky hii ya moto naikubali sana
Hope hii ina kichaa
Lord know
Hell or heaven yupo na mtu mbad jadakiss

Anza na hizo kwanza
 
Hyo Perfect used to be my fav enz hzo,ntaitafta niirudishe tena kundini nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Travis Scott - Yosemite
Travis Scott - Highest in the room
Dj Khaled - you stay
Dj Khaled - the storm
Lady Gaga - always remember this way
Alan Walker - on my way
Ed Sheeran - perfect
Sasa hv ni Justin Bieber ft Quavo - intentions nasikili muda mwingi sana.

Ni vyema siku nyingine mnapotaja huo wimbo wa Perfect msimame kuonesha heshima. Li-Ed Sheeran linaimba nyie.
 
Hiyo memories kweli tamu nshasikiliza siku mbili mfululizo
Tafuta na za ed sheeran mkuu ipo
Cross me ft chance the rapper
Kuna moja yupo Eminem 50 cents na ed Bonge ya pini
Pia turudi nyumbani africa Mcheki na burna kwnye african giant Kuna nyimbo kali mkuu
 
i
iyo on the road naruka nayo sana sema we Tafuta hizi za Meek Mill
Philadelphia born and raised (hii ata mwenyewe meek huwa anakili ndo ngoma yake kali)
Ready or not
My life yupo na Montana
Ricky hii ya moto naikubali sana
Hope hii ina kichaa
Lord know
Hell or heaven yupo na mtu mbad jadakiss

Anza na hizo kwanza
Asee we jamaa nikajua hii post nimeandika mimi. Umepita mulemule.
 
Tafuta na za ed sheeran mkuu ipo
Cross me ft chance the rapper
Kuna moja yupo Eminem 50 cents na ed Bonge ya pini
Pia turudi nyumbani africa Mcheki na burna kwnye african giant Kuna nyimbo kali mkuu
Burna namsikiliza sana mzee wa yeye yeye yeyeye yeye oh
 
Miguel ft Chris Brown &future - simple things
Chris Brown ft future & young thug - high end

Ukitaka kudownload nyimbo yoyote
Mp3juice.com
 
Ni vyema siku nyingine mnapotaja huo wimbo wa Perfect msimame kuonesha heshima. Li-Ed Sheeran linaimba nyie.
ed anajua tuache utani hiyo perfect , ni konyo kuna Demu mpaka kesho ananikumbuka kisa hiyo nyimbo coz nlikuwa napenda mwimbia nadownload instrumental then anaplay namwimbia kama ed
pia Photograph ni my fav song , napenda mno mno mno guitar za ed , , , ,
 
Back
Top Bottom