Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Ikiwezekana na salute kabisa[emoji3][emoji3]
Anaimba vzuri af bila kutumia nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
ed ni true definition Ya mwanamuziki mkuu Anaplay violin, Guitar , piano na Instruments mingi mingiii

Aliponiacha mdomo wazi nikaamini ni genius Ni kwenye soundtrack ya Desolation of smaug I SEE FIRE Violin kwa nyimbo kaplay yeye Guitar na most of instruments ....salute to ed
 
Mi ni mpagani mwema but ntajifunza kuipenda coz ov u

ngoja nikuongezee list nyimbo zingine tamu tamu
Better by Khalid
Good things by zedd kehlan
Faded by Allan walker
I hate you I love you by Gnash
Good life by kehlan

Jaribu hizo tamu haswaa

Nitumie zaidi nazitafuta zote leo zisiwe ngumu ngumu sana
 
Best part of me-ed sheeran
When we were young-adelle
You were meant dor me-boyce avenue
Faded-alan
 
Ocean -hill song live in Jerusalem
He still love me- Tasha cobbs
Nipe- goodluck gosbert
I believe - jonathan
 
Heart break hotel- Whitney Houston
My love is your luv- Whitney Houston
Say- Method Man ft Lauryn Heel
Hold u down- J.lo ft Fat Joe
Nimezama Rex- Ray c
Wutang Clan ft Ton Braxton
Hold ya head up- Biggie ft Bob Marley
Muhenga mwenzangu bila shaka
 
"I wonder was I wrong thinking this is where God led Me or did I get involved in something that was too heavy".... NF-My stress, sijawahi ichoka hiyo kutokana na hali fulani fulani.
Nyingine ni
Helplessly ya Tatiana manaios
Ukimuona-Diamond
Something you forgot,How to love-Lil Wayne
God's Plan,headlines-Drake
Dear MAMA-Shakur
Ghetto by Akon.
 
Za kibongo hupendi?

Kuna ya joh makini-mipaka
Huwa siichoki pia
huwa naziskiliza ila siwezi ziweka kwene playlist zangu, kama hao weusi ndo huwa hawaniingii akilini japo nyimbo zao nyingi nimekariri mistari
 
Nyimbo za bongo ukisikiliza wiki inakinaisha kama kipindi cha hesabu
Zipo ambazo hazichoshi

Halafu kipindi cha hesabu hakijawahi kunikinaisha,actually hesabu ndio best somo kwangu na ndio maisha yangu ya kila siku
 
Back
Top Bottom