Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

"I wonder was I wrong thinking this is where God led Me or did I get involved in something that was too heavy".... NF-My stress, sijawahi ichoka hiyo kutokana na hali fulani fulani.
Nyingine ni
Helplessly ya Tatiana manaios
Ukimuona-Diamond
Something you forgot,How to love-Lil Wayne
God's Plan,headlines-Drake
Dear MAMA-Shakur
Ghetto by Akon.
Peoples change even satan Used to be an angel
Nf
Think twice before you bite thr hands thats fed you
 
Kama hutaupenda wimbo huu niambie!

Umekuwa wimbo wangu Bora kabisa kuanzia mwaka huu.

Naupiga, naupiga, naupiga na naupiga tena kila mahali. Porini, shambani, ofisini, nyumbani, katika gari, nikiwa bored na wakati wowote ule.
 

Attachments

The Weeknd - Reminder
Justin Timberlake - Man of the woods album
Planetshakers - Through it all remix
Planetshakers - There is no one like you (live)
Nick Jonas - Last year was complicated album
Marioo - ya uchungu
Wizkid - Ghetto love
 
Unconditional love by Jah cure
Ccm mbele kwa mbele by Capt komba
 
21 savage ft future - X
Drake -started from the bottom
Kendrick Lamar -Bi*ch dont kill my vibe
J Cole - Wet dreamz
Ariana Grande -imagine
Jolie -bado mapema
 
Meet you at the river
Isencane one & two
Enya
Bodhisatva chanting
Habari zenu wapendwa katika mimi!

Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.

Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.

Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill

Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.

Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.

joanah

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom