magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Dah hiyo Photography guitar plus lyrics vyote vimeenda shule. Kibongobongo ingepongezwa awamu ya tano.ed anajua tuache utani hiyo perfect , ni konyo kuna Demu mpaka kesho ananikumbuka kisa hiyo nyimbo coz nlikuwa napenda mwimbia nadownload instrumental then anaplay namwimbia kama ed
pia Photograph ni my fav song , napenda mno mno mno guitar za ed , , , ,
In short napenda sana mziki anaofanya Ed sheeran nimekuwa Addicted kiasi umeathiri hadi beats nnazofanya zinakuwa emotional sana..