Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Remember this hiyo,NF.nilisahau kuilist, haichoshi kumsikiliza na wanaopenda inspirational songs hii ni mojawapo...Peoples change even satan Used to be an angel
Nf
Think twice before you bite thr hands thats fed you
Aisee! Hiyo namba mbili ya Gina Thompson Umenikumbusha John Dilllinger Matlou "Dj JD" alipokuwa kwenye radio moja 1997-1999 alikuwa anagonga sanahii ngoma. Actually ndiye aliyeutambulisha huu wimbo kwangu . Kama sikosei ni Rodney "Dark Child" Jenkins ndiye ali-produce huu mdundo enzi hizo yuko on fire.Huwa Sichoki kusikiliza hizi nyimbo:-
1. Run to the arms xscape
2. Gina Thompson - Ya Di Ya.
3.One Sweat Day - Mariah x Boyz
Hahaha Safi ni kweli DJ DJ alikuwa anaupiga sana enzi hizo yupo 101.4 FM now Capital FM.Aisee! Hiyo namba mbili ya Gina Thompson Umenikumbusha John Dilllinger Matlou "Dj JD" alipokuwa kwenye radio moja 1997-1999 alikuwa anagonga sanahii ngoma. Actually ndiye aliyeutambulisha huu wimbo kwangu . Kama sikosei ni Rodney "Dark Child" Jenkins ndiye ali-produce huu mdundo enzi hizo yuko on fire.
About week ago .....Hot Nikka.19. Bobby Shmurda - Hot Nigga
Mbona nyimbo za juzi tu hizo? Nyingine zimetoka 1999 wakati WestLife nao wanatoka kwenye game!!!!father inaonekana utakua umeenda age sana
Loyal ya chris brownHabari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.
Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill
Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.
Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.
joanah
Dah! Ebwana mdau umenifurahisha sana. Memory yako iko poa sana. Ni kweli "one -O-one point four" alikuwa anapenda sana kutamka hivyo. Ahsante.Hahaha Safi ni kweli DJ DJ alikuwa anaupiga sana enzi hizo yupo 101.4 FM now Capital FM.
Shmoney danceAbout week ago .....Hot Nikka.
wengine unatumia free basic mkuu