Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Dah! Ebwana mdau umenifurahisha sana. Memory yako iko poa sana. Ni kweli "one -O-one point four" alikuwa anapenda sana kutamka hivyo. Ahsante.
Hahaha sie ni wadau wa mziki halafu enzi hizo DJ JD alikamata sana kwa hewa,Masister Duu wa Mzizima /Shaban Robert walikuwa wanapiga simu sana kurequest Mapini ya mbele.
 
Dogo alikuja vizuri akazingua akahifadhiwa NDICHI.
Dah! Kweli, halafu alikuwa na staili ya ku_dance matata sana. Sijui akitoka na akarudi kwenye game kama atasumbua tena maana Mystikal naye baada ya kutoka jela akawa kama kapoteza.
 
Huwa napenda sana kusikiliza Clean version yake halafu mdundo(beat) unakita kama WOte.
Mdundo wake matata sana ingawa mashairi yake kidogo yana maneno tata. Hiyo clean version mdau si itakuwa imekatwa katwa sana, au!? Ila jamaa kaelezea ukweli wa life lake.
 
Hahaha sie ni wadau wa mziki halafu enzi hizo DJ JD alikamata sana kwa hewa,Masister Duu wa Mzizima /Shaban Robert walikuwa wanapiga simu sana kurequest Mapini ya mbele.
Kweli kabisa na naamini hiyo ilichangiwa na access na simu za nyumbani za land line kipindi kile. Ilikuwa burudani aisee!
 
Album ya UB 40 Labour of love II tokea 1990’s mpk leo still new for me

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah! Kweli, halafu alikuwa na staili ya ku_dance matata sana. Sijui akitoka na akarudi kwenye game kama atasumbua tena maana Mystikal naye baada ya kutoka jela akawa kama kapoteza.
Hahaha style nzuri ile kama anainama hivi na kushake ilibamba sana,ukitoka jela lazima upoteze si umeona hata shyne kapotea mazima kwenye game.
 
Mdundo wake matata sana ingawa mashairi yake kidogo yana maneno tata. Hiyo clean version mdau si itakuwa imekatwa katwa sana, au!? Ila jamaa kaelezea ukweli wa life lake.
Yap Mashairi alikaza ,yes kwenye clean maneno mengi yamekatwa.
 
Kweli kabisa na naamini hiyo ilichangiwa na access na simu za nyumbani za land line kipindi kile. Ilikuwa burudani aisee!
Kweli mkuu zamani Mobile kulikuwa hakuna mwendo wa Landline tu TTCL na Mkonga,Washua ndio walikuwa na simu za ndani kwa hiyo watoto wa kishua sana na tu walikuwa wanapiga.
 
Nash mc Mitihani
Ay-usijaribu
Otile brown-aiyana
Dizasta-no body is safe
Jason derulo -stupid in love.

Play list yangu huwa haikosi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdundo wake matata sana ingawa mashairi yake kidogo yana maneno tata. Hiyo clean version mdau si itakuwa imekatwa katwa sana, au!? Ila jamaa kaelezea ukweli wa life lake.
Wakati kesi yake inaendelea wakili wa serikali alitumia baadhi ya mistari kwenye hii ngoma kama ushahidi.
 
Ndio maana wengine wanaona kama aliwa-snitch wenzake. Ila hata hivyo jamaa na wenzake wanahusudu sana guns.
 
Back
Top Bottom