Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Habari zenu wapendwa katika mimi!

Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.

Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.

Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill

Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.

Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.

joanah
 
Russ - nightmare(NOTE hapa nilipo naickiliza)
Russ-- wife you up

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Johnny be good by Peter Tosh
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Testament Ya Bowule (Lutumba Simaro) - Franco & le T.P. O.K. Jazz 1986

Bado nausikiliza usiku na mchana na haunichoshi, niliupata kutoka kwa baba yangu.
 
  • St Anna Choir Yombo dovya _ Mbingu zinahubiri
  • The Go Go _ Vacation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…