Nyimbo gani ya kitambo inakubamba sana ukisikia?

Umetisha mkuu
 
Nomasana
Kwa bongo East Cost Team - Hii Leo, Daz baba - Wife, Man Dojo na Domokaya - Dingi hizi pini zilikua hatari 💣💣

Kwa mbele DMX - X gon give it to ya
 
Kuna wimbo flani wazamani ni katiya kutoka kenya uganda autanzania nilikalili kipande ...wana imba alomaiti alomaitii ina skitisha sana ooohh ...kama kiluga flani kinaendelea nisaidien jina na muimbajii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…