Nyimbo mbili bora za muda wote zinazopendwa kwenye baa za Tanzania

Nyimbo mbili bora za muda wote zinazopendwa kwenye baa za Tanzania

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini muziki nikiusikilizia Bar huwa ni mtamu zaidi ya kusikilizia nyumbani? Nyumbani nina Home Theatre nzuri ya Sony niliyonunua Dirham 1200 kule Deira, Dubai lakini huwa naona haitoi muziki mtamu kama ule wa Bar. Hata kinywaji cha Bar nadhani huwa ni kitamu kuliko nyumbani. Inabidi watafiti waingie chimbo kutuletea majibu ya hili swali.

Katika kuhudhuria Bar mbalimbali hapa Tanzania kwa miaka kadhaa nimegundua kuna nyimbo mbili pendwa sana kwenye mabaa. Ikumbukwe mimi ni miongoni mwa watu wachache waliofika karibu maeneo yote ya nchi hii. Ukimtoa mgombe urais kwa tiketi ya CCM na kiongozi wa mbio za mwenge basi huenda mimi ndo nafuatia kwa kufika maeneo mengi.

i. 100 Kilos ya Ferre Gola
ii. Ya Jean ya Madilu System

Hizo nyimbo ni kama zina mikataba maalum na wamiliki wa mabaa pamoja na wateja wao. Kwa miaka kadhaa sasa ukiingia karibu kila bar hapa Tanzania utasikia zinapigwa. Zipo zingine pia pendwa ila naona hizo mbili ni zaidi.
 
Attachments

Siku moja nipo mwanza pale nyegezi nishatupia bia mbili tatu nikasema ngoja nikalalale sasa nipo room kwenye gest moja ya inaitwa Kilmanjaro nikasikia ngoma inagogwa kwa mbali kwenye bar moja ipo jirani hapo.
Nikasema weee! Ngoja nikaskilize mziki bwanaa nikaishia kulewa asubuhi naamka nipo na jimama room...😂😂😂
 
Siku moja nipo mwanza pale nyegezi nishatupia bia mbili tatu nikasema ngoja nikalalale sasa nipo room kwenye gest moja ya inaitwa Kilmanjaro nikasikia ngoma inagogwa kwa mbali kwenye bar moja ipo jirani hapo.
Nikasema weee! Ngoja nikaskilize mziki bwanaa nikaishia kulewa asubuhi naaamka nipo na jimama room...😂😂😂
 
Ulitumia kinga? Kama hukutumia kapime afya yako.
 
Siku moja nipo mwanza pale nyegezi nishatupia bia mbili tatu nikasema ngoja nikalalale sasa nipo room kwenye gest moja ya inaitwa Kilmanjaro nikasikia ngoma inagogwa kwa mbali kwenye bar moja ipo jirani hapo.
Nikasema weee! Ngoja nikaskilize mziki bwanaa nikaishia kulewa asubuhi naaamka nipo na jimama room...😂😂😂
Bato ba Mwanza tolingi na miziki ya solo!
 
Tena hyo ya Ferre Gola nikisikia hamu ya Castle Light inakuja,Bar nyingi za kawaida au grocery za mtaani wanapiga hii nyimbo sio hzi bar za vijana n amapiano na filimbi zao.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
I remember in 1950, we were only five on jamiiforums. l, my uncle and three others and I totally don't understand a situation like this. Today we live in a world where people waste their time reading my comment
 
Walee wadada wanaocheza cheza makalio wazi kwenye shooting za video za singeli hivi wanakaa wapi? Walee
 
Back
Top Bottom