Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

Uchaguzi wa raia polisi wanafuata nini???Kura inalindwa na mpiga Kura tu
 
Kimbilio la waliofeli ni upolisi..... Ndo hao sasa
 
Kuna askari kama watatu hapo nimewaona nawadai. Leo nikitoka mishe sitacheka na wowote naenda kuwakwida kiroho mbaya wanirudishie pesa yangu.

Hawa wanatuletea uhuni wakati sisi tunawapambania wawe na maisha Bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…