Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!Namtafuta rafiki rafiki rafikii
Rafiki yako naani naani naanii
Rafiki yangu Meendee Meendee Meendee
Huu mti gani, wa mchongoma
Nikiukata haukatiki
Hata kwa panga, haukatiki
Hata kwa shoka, haukatiki.
Nataka kuzi-document kwa ajili ya watoto wa ndugu zangu walioko njeHao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!
Inavutia sana kuona nyimbo tulizoimba miaka karibu 40 iliopita hadi leo watoto wanaimba.Nataka kuzi-document kwa ajili ya watoto wa ndugu zangu walioko nje
Pia upo ule wa mwana mbuzi mee mee, kamlilia mwanawe, kamwambia kwea, kwea mlima mama ehhKi yuko nyulika mwanangwavwa Jumbe, kavaa nguo mbili, ya tatu kajifunika.Aliye juu aondoke.
Hapo mmefinyana nyumba ya viganja
kioo kiooo alikivunja nani...Nataka kuzi-document kwa ajili ya watoto wa ndugu zangu walioko nje
Katrina ilipiga tena miaka si mingi, ilijurudia baada ya kuacha majanga makubwaMimi mpaka leo najiuliza uhusiano wa nyimbo moja na tukio lililotokea huko US:
Mvua ikinyesha tulikuwa tunacheza kwenye mvua na kuimba, "Mvua njoo, katarina usije.....mvua njoo, katarina usije". Tuko wadogo, nadhani tulipokea/rithi hiyo nyimbo toka kwa wakubwa zetu; na ni miaka mingi nyuma, miaka mitatu minne nyuma tukashuhudia "Hurricane Katrina" na maafa aliyosababisha US; mvua inanyesha, moto unawaka!
Katarina/Katrina ni nini?
Ushuani watoto pia wanachelewa kuongea, Huku kwetu Kwamtogole msuto unaanza ukiwa na mwaka mmoja. Ukifisha miaka miwili wewe ni mtaalamu hata matusi unayajua.Hao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!
sasa kimbieniMimi mama yenu,ee, ninanguvu tele,ee,zakumua simba ,ee,simbanimkali,ee, du utoto raha sana hapo walishashiba menu ya sambili hahahaha
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji12]Mimi mpaka leo najiuliza uhusiano wa nyimbo moja na tukio lililotokea huko US:
Mvua ikinyesha tulikuwa tunacheza kwenye mvua na kuimba, "Mvua njoo, katarina usije.....mvua njoo, katarina usije". Tuko wadogo, nadhani tulipokea/rithi hiyo nyimbo toka kwa wakubwa zetu; na ni miaka mingi nyuma, miaka mitatu minne nyuma tukashuhudia "Hurricane Katrina" na maafa aliyosababisha US; mvua inanyesha, moto unawaka!
Katarina/Katrina ni nini?
kuna katoto nilikua nacheza Nako kwa kukarusha juu Na kukadaka. Nakarusha tena Na kukadaka. Nilipo acha kakaniambia "acha us*nge nirushe tena" nikabaki hoiUshuani watoto pia wanachekewa kuongea, Huku kwetu Kwamtogole ndiyo inaanza ukiwa na mwaka mmoja. Ukifisha miaka miwili wewe ni mtaalamu hata matusi unayajua.
Nakumbuka huu wimbo nilikuwa napata hisia na kuogopa kweli kuliwa na simba.......Mimi mama yenu,ee, ninanguvu tele,ee,zakumua simba ,ee,simbanimkali,ee, du utoto raha sana hapo walishashiba menu ya sambili hahahaha
Watoto wa uswaz ni norma mkuukuna katoto nilikua nacheza Nako kwa kukarusha juu Na kukadaka. Nakarusha tena Na kukadaka. Nilipo acha kakaniambia "acha us*nge nirushe tena" nikabaki hoi