Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

mwanangu kua kua nikutume
nikutume wapi kwa mfalme
kuna ng'ombe zetu 12
mmoja kafa kaliwa nyani
nyani mkinda tumkindule
tusole visiga vya bwana chuma
bwana chuma gani simdodo
simkindu dawa kanabuba..

nadhani na kizaramo ndani humo wala tulikuwa hatujui maneno mengine maana ake nini😀
Yesa yesa yesa yeee...bado kidogo
Yesa yesa yesa yeee...bado na tena
Yesa yesa yesa yeeeee
 
Amina
Amina kadala
Sinowea(hata sijui ilikuwa ndyo nini)
Amina tumpepe tumpempe
Amina magereza magereza
Amina dush dushi karanga dushi

Mwingine
Shilingi ya Nyerere katikati kuna mwenge
Zunguluka nyuma utamkuta mwenyewe
Sobisobi sobi samwela sobisobi sobi samwela

Utoto wa zamani raha sana
Kama Dada wanipenda,kaninulie zeze,nikilala kitandani,zeze lanibembeleza,ahah amina,kusemasema kubaya,utamsema mmeo, aliyekupa hiyo mali
 
Mimi mpaka leo najiuliza uhusiano wa nyimbo moja na tukio lililotokea huko US:

Mvua ikinyesha tulikuwa tunacheza kwenye mvua na kuimba, "Mvua njoo, katarina usije.....mvua njoo, katarina usije". Tuko wadogo, nadhani tulipokea/rithi hiyo nyimbo toka kwa wakubwa zetu; na ni miaka mingi nyuma, miaka mitatu minne nyuma tukashuhudia "Hurricane Katrina" na maafa aliyosababisha US; mvua inanyesha, moto unawaka!

Katarina/Katrina ni nini?
i come from Alabama with my banjo on my knee,
I'm going to Louisiana, my true love for to see.
It rained all night the day I left, the weather it was dry
The sun so hot I froze to death, Susanna, don't you cry.

Chorus

Oh! Susanna, Oh don't you cry for me,
For I come from Alabama with my banjo on my knee.

I had a dream the other night, when everything was still;
I thought I saw Susanna dear, a coming down the hill.
A buckwheat cake was in her mouth, a tear was in her eye,
Says I, I'm coming from the south, Susanna, don't you cry.

I soon will be in New Orleans, and then I'll look around,
And when I find Susanna, I'll fall upon the ground.
But if I do not find her, then I will surely die,
And when I'm dead and buried, Oh, Susanna, don't you cry.
 
Amina
Amina kadala
Sinowea(hata sijui ilikuwa ndyo nini)
Amina tumpepe tumpempe
Amina magereza magereza
Amina dush dushi karanga dushi

Mwingine
Shilingi ya Nyerere katikati kuna mwenge
Zunguluka nyuma utamkuta mwenyewe
Sobisobi sobi samwela sobisobi sobi samwela

Utoto wa zamani raha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amina panda mlima
Siwezi kupanda
Kwann huwezi kupanda?
Naumwa na tumbo
Tumbo hilo kakupa nani?
Kijana hassan
Kwann usikatae ?
Naona utamu
Siku ya kwanza Utamu yes yes utamu
Siku ya pili utamu yes yes utamu
Siku ya tatu utamu yes yes utamu
Siku ya nne ng'aa ng'aa

Hivi akiyetunga nyimbo hii alifilia nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada nieleze nieleze nieleze,
Siku uliyokuja uliyokuja uliyokuja
Ulivaa nguo gani nguo gani nguo gani?

Nilivaa Tina eee,Tina yeye Tina yeye,
Chini raba mtoni, juu shati kubwa kubwa,
Katikati chup ya kijani,
Muone almaa kwa misakato
Anavyolisakata super bomboka
Ukitaka mshkaji chagua wako
Mpeleke harakati chumba cha kati
Mpe michapoo,saizi yako
Nani mchafu, comrade kipepe
Wangu mwenyewe,zamoyoni mogelaa
 
Kama Dada wanipenda,kaninulie zeze,nikilala kitandani,zeze lanibembeleza,ahah amina,kusemasema kubaya,utamsema mmeo, aliyekupa hiyo mali
katinganya katinganya kati..midabwada
katinganya katinganya kati...inapepea
katinganya katinganya kati....kama bendera
 
Moja chama chetu cha umoja
Mbili macho kama pilipili
Tatu, Tatu mwizi wa mapera
Nne:mwanne acha uhuni
Tano, kwa mchuzi wa manjano
Sita,baharini kuna vita
Saba,sabasaba imefika
Nane,zunguruka tuonane
Tisa,kwa Mzungu kunatisha
Kumi, kwa magumi na mateke
 
Dada mwajuma nalia eeh, nipe msondo
Maneno mengi sitaki eeh,nipe msondo
 
I wrote a letter to my darling ...
But she didn't answer me ....
I don't know why she didn't .....

Anae kumbuka amalizie
 
Amina panda mlima
Mm siwezi
Kwann hauwezi
Mm na umwa
Unaumwa na nnn
Naa tumbo
Tumbo limefanya nn
Ninaa mimba
Mimba kakupa nani
Niyaa juma
Kwann usikatae
Dushe (mb**o) ni taamu

Nakumbuka mstari wa mwisho tulikiwa tuna imba kwa kugunaguna
 
Amina panda mlima
Siwezi kupanda
Kwann huwezi kupanda?
Naumwa na tumbo
Tumbo hilo kakupa nani?
Kijana hassan
Kwann usikatae ?
Naona utamu
Siku ya kwanza Utamu yes yes utamu
Siku ya pili utamu yes yes utamu
Siku ya tatu utamu yes yes utamu
Siku ya nne ng'aa ng'aa

Hivi akiyetunga nyimbo hii alifilia nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha bora umenikumbusha.. Nilikuwa nauwaza Sana.. Huo wimbo wa kuruka kamba hapo penye yes yes utamuu ndyo pana rahaa.... Kamba inavyobamizwa chini lol
 
Back
Top Bottom