Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Mimi nitatka kushindana nawe kwenye bilinge..nione Kama bado unajua kukibilingia hahahahha Natania!!
 
Mama Mdogo njoo nione nimejikata kidole,
Nipeleke kwa Mganga nimejikata kidole,

Nina Ndoo yangu eeh!
Ya kuchota Maji eeh!
Watoto msitizame Nyuma Yai bovu linapita!

Maji ya Ndimu Maji ya Ndimu.

Na Kambona....
Na wake Zake..
Wamevalia..
Disco tech..
Na mimi hapa..
Ni Kijana..
Kijana kutoka Jf
Namuomba..
Dada afrodenzi ..
Aje kidogo hapa,
Tucheze Pambpin,
Amba yeye...
Amba yeye(rege)? sikumbuki dah ila ilikuwa Raha raha Mustarehe! unatamani muda usiishe Muendeleze libeneke tu.
 
Ha ha ha ha ha tulikuwa tunawaita TIN TIN...mama yao alikuwa ana Land Rover 109... Au wewe ndio yule dada yao?
 
Ha ha ha ha ha tulikuwa tunawaita TIN TIN...mama yao alikuwa ana Land Rover 109... Au wewe ndio yule dada yao?

Aahahahahahhaahahhaahhahahahaa RRONDO utanifanya leo nikeshe Hehehehehehehehehehehehehehehehehee yaani hapa nacheka kama mwehuuu hahahahahahahahhaaaa

Ila si umesema habari za shule tusiongelee tena?
Ndo hao hao TIN TIN ila kuhusu dada yao sisemi kitu aahahahahahahahahahahahaaa
 
Mimi nitatka kushindana nawe kwenye bilinge..nione Kama bado unajua kukibilingia hahahahha Natania!!

Yaani nakwambia itakuwa boonge ya kolaabooo. Ntabiringita hadi chini hadi utafurahi na ntainuka hadi juu bila kutegea wala kushikilia chini.

Wajua Kasie wa nje mwenye mwili na muonekano wa macho ni kigagula lakini Kasie wa ndani anajenga hapa yuko soo young yawezekana hata haja vunja ungo.......

Ndo maana saa ingine watu humu hawanielewagi ila kwakuwa mie najijua aaah kwa raha zangu. .... Happy like will never die hehehehehehe

Tutacheza huo na kuruka kamba pia aahahahahaaa. Halafu ili RRONDO asituchulie tunamwambia yeye ndo atushikie kama kurusha ndo atakuwa anazinga hehehehee.

Hebu waandae hilo tamasha kwakweli. Hata kiingilio wakiweka 100,000 poa tuu heheheheee (msinirushie mawee hamani) mwenzetu hapa nina furaha ajabu si ajabu ikija siku ya kulipa kiingilio na mimi nikalalamika mbona bei kubwa kumbe niliitaja mwenyewe hehehehheee.
 
Aisee mimi nina photographic memory....nakumbuka nusu ya darasa watu ambao sijawaona miaka zaidi ya 20 iliopjta
 
Aisee mimi nina photographic memory....nakumbuka nusu ya darasa watu ambao sijawaona miaka zaidi ya 20 iliopjta

Aahahahahahahahaaaa yaani wewe unanivunja mbavu ujueee Aahahahahahahahaaaa looh

Kwahiyo taswira unazikumbuka vyema za 7C aahahahahahahhahahahaaaa. Hebu mtaje monitress na monitor alikuwa nani wakati ulee aahahahahahahhahahahaaaa

Halafu sura zinabadilika ujue.... 20 years plus huko nyuma aiseeh ni umri wa mtu huo na sasa ana ndoa yake na watoto kweli mie ni kigagula looh aahahahahahahahahaha ilitakiwa niwe na wajukuu saa hizi looh.
 
Nawajua monitors wote wa 7 A,B,C nikikutajia utajua nimemaliza lini mwisho utanijua. I was famous by the way.
 
Kasie usiniulize tena habari za shule maanake dunia ndogo hii...

Sawa nimeacha ila sina mbavu hapa nilipo aahahahahahahaaa. Jumamosi ntaenda pale palipokuwa na kiduka cha baba Taibali kuna shosti yangu bado anakaa maghorofa yale.

Haya nashukuru kwa kumbukumbu njema, ubarikiwe.
 
[emoji23] days of our lives..
 
Nawajua monitors wote wa 7 A,B,C nikikutajia utajua nimemaliza lini mwisho utanijua. I was famous by the way.

Wala usiwataje acha tuu it was funny enough kuvuta memory ya ule mti pale anaosahishaga madaftari mwalimu Ndosi.

Daah nimekumbuka ubuyu wa muhimbili kuke juu wenye pilipili sijui ndo ulikuwa ubuyu wa Zanzibar.
Siku walimu wakicharuka wanaanza kukagua ulimi nje, ukikutwa mwekundu unaambiwa uokote punje 100 za ubuyu usipozitimizia unakula mkong'oto daah. Rafiki yangu siku moja alikutwa ulimi mwekundu kidogo akajitetea mwalimu mie niliomba tuu aahahahahaaa ajibiwa wacha nikulambe fimbo 2 halafu nawewe ukawagaie maumivu. Uache kuomba omba aahahahahaaa.
Daah haya bana basi ngoja tuache hizi habari it has been long.

Mie natamani hilo tamasha tuu watu waandae Old School Re-union sie tulipe viingilio tuserebuke kwa afya zetu.
 
Hahahahaahha.... I Kanti You!! Mimi mvivu wa kucheza toka utotoni nitakuwa nawashangalia wewe na kaka B hapo mkiingia Kati....
 
Hahahaaaa!!
Huu uzi umenikumbusha mbali sana.
 
Kila mtu kwaoo kwaoo akachapwe fimbo za matakoo.
Ha ha ha ha hapo una paka mate mkononi ......ile ya kuimba mko mduara (kama una wako mshike kiuno chini kwa chini ehee chini kwa chini)
 
[emoji23] days of our lives..

Indeed those were days of our lives.....
Those were times unasubiria xmas kwa hamu mle special diet siku hiyo. Asubuhi chai na maandazi mchana pilau usiku tumevimbiwa hata hatuli maana tumbo liko hihaa
Aahahahahaaa looh
 
Duh! huuu uzi umenikumbusha zamani sana, kwanza umenifanya niikumbuke hii TANESCO wakati tunaimba nyimbo hizo na mgao ulikuwepo kama kawa, yaani hadi leo mgao bado upo na nyimbo zimekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…