Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Dddduuuhhh nimechekaaaaa hatari, wallah kosa yote usikose hela ya bando tu, utakufa kwa stress π πVilainishi 1000 Kuna watu walikuwa wanapewa mpaka Dolla million 50 wanakataa kufumuliwa Malinda na P Diddy
Hio picha tu inaonesha tu wewe ni fukara wa kutisha.[emoji304] [emoji304] [emoji304] kazini
Kama vipi uwaoe wewe uwakaze vizuri.Huu uzi nimesoma comments mpaka natetemeka. Miaka ijayo watoto wangu sijui wataolewa na nani. Sioni wakuwaoa zaidi naona wa ku compite nao kutafuta mabwana
Niseme tu Kila la kheri vijanaKama vipi uwaoe wewe uwakaze vizuri.