Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Hata asilimia arobaini hamfiki mnapiga kelele, mkiwa 90% si mtatupiga viboko kama Zanzibar? 😂
 
Mhhh ovyoooo
 
Daaaaah Mkuu hii sio sawa, ulichofanya ni uchonganishi na kujenga chuki pasipo ulazima. Naamini kabsa wewe sio Muislamu ila umeamua tu kuweka andiko hili kuwachonganisha waislamu na dini nyingine. Kibinadamu hii sio sawa kabsa Mkuu hujawatendea haki wote waislamu na wasio waislamu maana hakuna andiko wala aya kwenye koran inayokataza watu wa dini nyingine kula wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadan. Sijui unajiskiaje kwa ulichokifanya?! Anyways [emoji848]
 
Kuna muda nimekuwa nikiwaza kuwa laiti kama kungekuwa na watu au jamii wasiopata haja hasa kubwa, sisi ambao tunapata haja tungekuwa na wakati mgumu sana.

Maana hivi tulivyo tu tumefanana kwa kila kitu kitabia kama binadamu lakini tunabaguana.

Wewe umefunga kulingana na imani yako unaanza kusumbua wengine ambao sio wa imani yako, huoni kuwa unamatatizo?

Tukiamua kulazimishana imani wewe utakubali?

Hakika ubinadamu kazi.
 
Kula kwetu kuna kuhusu Nini ... Pambana na hali Yako,!
 
Digital Blackface


...and Disinformation and not just any Disinformation.

Jamiiforums imevamiwa na genge baya sana linalotafuta kuchonganisha Wananchi kwa misingi yote, iwe ni ya Kijamii, KiSiasa, na Kiuchumi.

Mada hii ni mojaapo ya mada chochezi inayotumia fursa(taking advantage of)mida hi ya Ramadhani kuchagiza Uhasama kati ya imani za watu. Ni hatari.

Fuatilia sana hizi ID hapa, udadavue mwenyewe. Usisahau kugonga link hizo juu kupata muktadha wa tahadhari hii.

Kitaeleweka.
 
Wee ni lipumbavu. Kwa maneno haya Nina uhakika haujafunga bali unashinda njaa tu.
 
Makanisa mengi ya kipentekoste huwa wanafunga siku 21-40 kila mwanzo wa mwaka, na huwa kila ijumaa ya kila wiki.
Na katikati ya mwaka hivyo hivyo, na bado kuna mifungo binafsi.
Umeshawahi kusikia wakipiga kelele?
 
Kufunga mfunge nyie kwa hiyari zenu wala sis hatuchukii
Ila tukila na sisi kwa hiyari yetu mnakereka, token zenu hapa
 
Hatari!
Ukifunga harafu upo kwenye mazingira ya watu wanakula mbele yako, ni wakati mgumu Sana, Ila sio haki kulazimisha wengine waache taratibu zao za maisha kisa wewe umefunga, mi nakelwa na Mambo mengi, mahubili kila Kona, kwenye mabasi, vituo vya daladala, manyimbo ya hovyo kwenye mabasi, kuna kipindi cha story kama hadithi cha efm kila saa moja usiku, unakuta kwenye daladala, watu wapo bize wanasikiliza(mi uona upuuzi),
 
Mimi binafsi naomba mnge endelea na utaratibu wa kufunga hata miaka miwili hivi, maana kwa sasa nikienda kwenye zile chimbo za Kitimoto huwa naenjoy sana, hakuna foleni kabisa, unatoa order yako ndani ya dakika 10 - 15 iko tayari mezani, unateremshia na ka Konyagi, Hanson's choice ama safari baridiiii. Takbiir, bwana yesu asifiwe
 
kwahiyo na sisi wasabato unataka tufunge au? tufunge nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…