Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwahiyo toba ni mwezi huu tu, miezi mingine dhambi kama kawa. shetani mwongo sana, anajua sana kubambika watu dini za uongo.Acheni kejeli
Huwezi kutukana na kulaumu watu wasio waislam
Mwezi huu ni wa toba na una masharti yake
Tusiharibiane swaumu jamani
Hakuna mtu anafunga anaanza kutukana watu, hapana huyu labda hajui maana ya mfungo huu au sio muislam
Heshima ni jambo kubwa sana kwa waliostaarabika wakuu