Maana Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa kwetu, nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, tupate kuishi kwa kiasi na haki na utauwa katika ulimwengu huu wa sasa, tukilitegemea tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu.
Hakuna wokovu kwa mwingine awaye yote yule, ila kwa njia ya Yesu Kristo aliye mwanakondoo wa Mungu aliyeuawa kama kafara la dhambi na ukombozi. mnapoteza muda ninyi mnaofunga na kusali kwa miungu mingine isiyookoa, miungu inayoswali pamoja na majini.