Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,625
Reaction score
89,385
Nimewamind sana!, yani mimi na ujasiri wote nilionao lakini machozi yakataka kunitoka na hapo nilikuwa naangalia peke yangu!, ningekuwa na yule mshangazi wangu ningeaibika sana!..

Kusema kweli mmenilet down sana ile muvi ina emotions sio kitoto maana inagusa maisha ya mtu wakawaida anavyohangaika!, yule single mama nimemuonea huruma kwakweli!.
Next time bandikeni hapa jukwaani na mtolee maelezo haya maswala ya kuwa emotional hapana kwakweli, wengine tumeshazoea muvi za mkong'oto!.

Sio kitu nzuri sana shababi kama mimi machozi kunilenga!...🤣
 
Back
Top Bottom