My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,601
DahNa kuna watu bado mnaamini uponyaji na uzima...?
DahNa kuna watu bado mnaamini uponyaji na uzima...?
Anhaa! we inaonyesha hata kwenye mahaba ni mtata...😂Wallah mimi naiongeza kwenye movie ambazo zimetrend sitoziangalia labda itokee tu nmewekewa! Mimi binafsi napenda movie za Apocalypse
Yani dunia imeisha /dunia imekumbwa na janga zito ule mshike mshike na jinsi binadamu wanavyohangaika ku survive wanaumiza vichwa ndo vitu vyangu.
Duuh jamani 😃😃😃😃😃 angalia Straw dada ya duniani yaache kwa mudaWallah mimi naiongeza kwenye movie ambazo zimetrend sitoziangalia labda itokee tu nmewekewa! Mimi binafsi napenda movie za Apocalypse
Yani dunia imeisha /dunia imekumbwa na janga zito ule mshike mshike na jinsi binadamu wanavyohangaika ku survive wanaumiza vichwa ndo vitu vyangu.
Kuna hii inaitwa "The Son" ya mwaka 2022. Duh na yenyewe inahuzunisha sanaTupieni list ya hizo movies
Na hii inahuzunisha? Kama ni sad movie niishushe chap, nimeanza kuzikubali😅😅Tafuta na hiiView attachment 3365565
Ww utakua mwanaumeWallah mimi naiongeza kwenye movie ambazo zimetrend sitoziangalia labda itokee tu nmewekewa! Mimi binafsi napenda movie za Apocalypse
Yani dunia imeisha /dunia imekumbwa na janga zito ule mshike mshike na jinsi binadamu wanavyohangaika ku survive wanaumiza vichwa ndo vitu vyangu.
Ndio mkuuNa hii inahuzunisha? Kama ni sad movie niishushe chap, nimeanza kuzikubali😅😅
Aisle kwani kuna tatizo mahaliUzi wako ungeuandika kwenye geto lako hapo tandale