🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na kuna watu bado mnaamini uponyaji na uzima...?
Usingalikuwapo uzima tusingalikuwa tunaandika hapa
Tupo nchi ganinchi iliyoigizwa hiyo muvi ama unauliza tupo nchi gani..?
Mkuu maigizo ni fiction ndio, ila ime wekwa kucheza na hisia za mtazamaji.Eeh bwana. Maana watu wako kazini ku fake life ili walipwe, wewe unalia!!! 😂
😅😂🤣🙏Nyinyi ndo mnafanya maisha yanakuwa complicate sana kwasababu ya uzwazwa wenu kichwani!, so unakuja hapa unauliza tunaangalia muvi so ulitaka tuangalie komwe lako mkuu..?????
Ndio tunaangalia kama ume mind njoo tuzidunde!..😅
Dar huko mkuuKuna watu bado wanaangalia muvi?
Ndio matatizo hayo.Mkuu maigizo ni fiction ndio, ila ime wekwa kucheza na hisia za mtazamaji.
Ndio maana una ona watu wana mpenda au kuchukia character ya mwigizaji fulani kisa tu wali guswa na matendo Yao.
Basi huwezi kufurahia movie namna hiyoNdio matatizo hayo.
Mi huwa naangalia movie nikiwa na mtazamo flat kama hivi yan. Kwamba hiz ni kaz za watu, no emetions be attached
Fantasy yako ipi?Kuna watu bado wanaangalia muvi?
Ahahah..sasa utafurahiaje wakat unalia?Basi huwezi kufurahia movie namna hiyo
Ahh sio zote kulia, angalia series' ya peaky blinders, the sopranos uelewe uanaume ni jukumu kubwaAhahah..sasa utafurahiaje wakat unalia?
Hizo za ki man i hope nitazipendaAhh sio zote kulia, angalia series' ya peaky blinders, the sopranos uelewe uanaume ni jukumu kubwa
mbona unatuharibia uzi? KENZY mtu poa sana angalia lugha yakoOne condom would have saved the world from the nonsense written here
Hizo kali mzee, Kuna muda main characters wana vurugwa mpaka una sema arrghh mbona matatizo jau jau.Hizo za ki man i hope nitazipenda