Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

Actualy not fan of emotional movies, so nachukulia poa. Ila good acting sicha kisifia inapobidi
hata mimi mkuu si fan wa hizo muvi ile nimejikuta tu kwenye chumba cha dada wakazi, sasa ndo maana nimekuja kusema sita ingia tena kwenye hicho chumba!...😂
 
Nimewamind sana!, yani mimi na ujasiri wote nilionao lakini machozi yakataka kunitoka na hapo nilikuwa naangalia peke yangu!, ningekuwa na yule mshangazi wangu ningeaibika sana!..

Kusema kweli mmenilet down sana ile muvi ina emotions sio kitoto maana inagusa maisha ya mtu wakawaida anavyohangaika!, yule single mama nimemuonea huruma kwakweli!.
Next time bandikeni hapa jukwaani na mtolee maelezo haya maswala ya kuwa emotional hapana kwakweli, wengine tumeshazoea muvi za mkong'oto!.

Sio kitu nzuri sana shababi kama mimi machozi kunilenga!...🤣
Naipataje hii na Mimi nijidhihilishie ulisemalo
 
Back
Top Bottom