Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

Nyinyi waangalia movie kwanini hamkuniambia kuwa nisiangalie "straw"..?

Tafuta na hii
20250611_001805.jpg
 
hiyo Movie ni nzuri sana, mi nikiangalia movie za kusikitisha huwa na pause kwanza najinyoosha, nakunywa maji nafanya chochote ili nipunguze ile emotion ya huzuni kisha naendelea 😃😃
Leo nataka nitenge muda niichek....mbinu zako nitazitumia nisitililishe mchozi
 
Back
Top Bottom