Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Beira boy huna wito ndani yako we ni muhuni
BWANA aliniita mtumish wito ninao na nimeitwa

Wokovu unapatikana kwa njia nyingi sana
Kuna wale ambao wanazaliwa kwao baba na mama washaokoka

Sisi wengine tulipitia mbilinge mbilinge kwanza ndo tukaokoka

Kuna wengine walikuwa wezi wengine magonjwa wengine maisha magumu
Zote hizo ni njia za wokovu
 
Tuwekee na kavideo hata kamoja mtumishi. Siye wengine bado hatujashuhudia kabisa!
 
.
 

Attachments

  • IMG_20241105_144938.jpg
    57.9 KB · Views: 2
Una Imani haba mrudie MUNGU wako toa sadaka saidia yatima na wasiojiweza
 
Tuambizane hizo clip zinapatikana wapi
 
Aisee mi moja wapo aisee nikitazama xxx moyo wangu unaumia Naumia najihis kuwa mkosefu sana Mwwnyezimung anisimamie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…