Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Sina hata Moja jamaa yangu, watu wachoyo kinomaUnazo ngapi tubadilishane? Mimi ninazo saba hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hata Moja jamaa yangu, watu wachoyo kinomaUnazo ngapi tubadilishane? Mimi ninazo saba hapa.
Sijajua kwa nini umechomekea sentensi hii!!Asante sana....
BWANA aliniita mtumish wito ninao na nimeitwaBeira boy huna wito ndani yako we ni muhuni
Tuwekee na kavideo hata kamoja mtumishi. Siye wengine bado hatujashuhudia kabisa!BWANA awe nanyi wana wa MUNGU
Kwanza naomba kumshukuru MWENYEZI MUNGU aliyetuumba
Sii tu kwamba aliyetuumba bali ameenda mbali zaid hata akamtoa mwanae wa pekee ili tupate kupona
Kuna nyakati niliishi kwenye zambi sana lakini MUNGU ni MWAMINIFU alinitoa huko akanipa neema au baraka au zawadi ya uwongofu
Si kwamba sitendi zambi kabisa hapana kuna mda kama mwanadamu unajikuta umeanguka, kuna mda ukianguka MUNGU anashusha fimbo hapo hapo kuna mda anasamehe kabisa kama hakijatokea kitu
Sasa bas toka baltazar atrend nilijizua kuzama uchafu ule maana mimi huwa sitazami kabisa porn kwakuwa kutazama porn ni dhambi kubwa sana na ni lango la adui kwa ajili ya kutukosanisha na MFALME aliyetuumba
Lakini kadri makelele yalivyo kuwa yakizid nikajisemea ebhu ngoja nitazame kama mbili tatu hivi Kwan kuna nini
Alooo usiku nilipo lala BWANA MUNGU kaniletea mapigo makali sana kama adhabu kwanini nilitazama uchafu ule
Najuta sana kutazama uchafu ule kwakweli
Na ninashukuru sana kuona kwamba kumbe ROHO wa MUNGU yu pamoja nami
Lakin sasa naomba kuwauliza ninyi wezangu je huwa hampati mapigo yeyote yale juu ya dhambi na uovu mnaotenda?
Moderater msiunganishe huu uzi na zile nyuzi za baltazar
Asante sana BWANA YESU KRISTO
LONDON BOY
NIshafytaNitumie
.BWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Una Imani haba mrudie MUNGU wako toa sadaka saidia yatima na wasiojiwezaBWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Tuambizane hizo clip zinapatikana wapiBWANA awe nanyi wana wa MUNGU

Hujathibitisha Mungu yupo.Wana wa ulimwengu wana maarifa zaid katika mambo yao wenyewe kuliko wana wa Nuru
Sikuwezi endelea kubisha