Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

Naishukuru roho yangu kwa kufanikiwa kuyafumba macho yangu dhidi ya hayo yote. Hizo ni mbinu za devil.
Na naona anafanikiwa kwa baadhi ya watu, maana nasikia wakimsifia jamaa kwamba yuko vizuri.

Hebu tazama vijana watakavyohaha kutafuta mbinu kama jamaa. 😢
MUNGU akusaidie daima usije ukaanguka mtumish

Shetani yupo kazin kuangusha watu wa MUNGU
 
we jamaa,, yaani nitahakikisha hisia zinakuja popote zilipo😂
Baasi, usihangaike kuvuta vuta vitu ambavyo havionekani. Mimi nagawa hisia bure kabisa, na hisia zinaonekana kabisa! 😅 Karibu sana!
 
Back
Top Bottom