Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

never say never πŸ˜‚naanza kuimba nyimbo za maua sama yaani muhimu kitu kije aseeee mbinu zotee
Shauri yako, utasikiliza sebene kutafutia usingizi. πŸ˜‚
 
MUNGU akusaidie daima usije ukaanguka mtumish

Shetani yupo kazin kuangusha watu wa MUNGU
 
usijali nna njaa kaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Moja mbili tatu nne tano πŸ’¦πŸ’¦sita saba nane tisa πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦ chubwi chubwi chubwii
 
we jamaa,, yaani nitahakikisha hisia zinakuja popote zilipoπŸ˜‚
Baasi, usihangaike kuvuta vuta vitu ambavyo havionekani. Mimi nagawa hisia bure kabisa, na hisia zinaonekana kabisa! πŸ˜… Karibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…