Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Huyo si lolote si chochote kwa kiumbe hatari kuliko vyote duniani. Binaadam.
 
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito...
Nyoka mwenye sifa hzo hayupo
 

And get ready for the one and only INLAND TAIPAN / Na kaa tayari kwa mmoja na wakipekee INLAND TAIPAN.
 
The San Francisco garter snake
Fun Facts The San Francisco garter snake was one of the first species to be listed as endangered after the Endangered Species Act was passed. These non-venomous snakes will grab their prey and swallow it whole. They are one of the few animals able to eat the toxic California newt.
 
Huu ni uongo wa Hali ya juu sana wenye lengo la kuwajengea watu hofu mbaya sana kwa afya zao na ustawi wa jamii.
Mimi nikiwa mtaalamu wa viumbe hawa nawashauri mpuuzie Huu uzushi
 
Pwagu na pwaguzi siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…