Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Tena isiyo na sukari eti ana uwezo wa kugeuka Mamba lo! Hatari na nusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena isiyo na sukari eti ana uwezo wa kugeuka Mamba lo! Hatari na nusu.
Alijaribiwa kumgonga binadamu ndo utafiti ukakamilika?Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
[emoji116]View attachment 2530182
Watanzania kwa kutishana, hatujamboMbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
👇View attachment 2530182
[emoji478][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
[emoji116]View attachment 2530182
Noo,week ijayoNa kweli, nimekuwa mvivu balaa.
Ila ww umeenda?😅😅
😅😅😅 Wale wale tuNoo,week ijayo
Hiyo dawa hata kama unayo mfukoni sidhani kama utatoboa kwa sekunde 5Ni dawa ipi sahihi ya haraka kuzuia sumu ya nyoka ukiwa mbali na hospital kabla ya kufika hospital. Mfano ukiwa porini unaweza ukatumia au kujichoma.
🤣🤣🤣😅😅😅 Wale wale tu
Kwenye ibada hukwenda, unaamka saa nane mchana. Kwani ulikesha? 😅😅😅
... hapa nilijua akisogea karibu akasikia wanataka wamtafute wamuue anawatemea mate na kuwadedisha wote, kumbe muoga anakimbilia kujigeuza upinde wa mvua.!Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
Itoshe kusema hii Dunia imebeba mengi....Ni dawa ipi sahihi ya haraka kuzuia sumu ya nyoka ukiwa mbali na hospital kabla ya kufika hospital. Mfano ukiwa porini unaweza ukatumia au kujichoma.
Duh..huyo atakua kamanda..Mtoto wangu anapenda hiki kipindi hadi namshangaa wenzie wanataka katuni yeye analilia snake in the city...sijui hata anapendea nini
Huyu kwenye picha ukimnyoosha hawezi kuzidi mita kumi, kwahiyo ni mjukuu.Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.