Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Hapana ๐๐๐๐Ulikwenda ibadani Leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ๐๐๐๐Ulikwenda ibadani Leo?
MvivuHapana ๐๐๐๐
Achana na hizo story nyingine zote ulizozielezea hapo.Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
๐View attachment 2530182
Hadithi ya kufikitika kwani hajawahi kuonekana kwani aliyemwona alikufa na hakuna akiyesimuliwa kwani msimuliaji alikua, pia nyoka badi hajazaliwa wala kuanguliwa kwani nyoka wa kuzaa au kuangua bado hajawahi kuwepoAliyempiga hii picha ye'hakufa?
Maana nimeona hakamatiki wala hafikiriki!
Ukimuona ni tatizo kubwa na ukimuwaza unaweweseka kwa wazimu ama kuanguka kifafa!
Nd'onajiuliza hii picha ilichukuliwaje na mwenye kuichukua bado yupo hai?
Na tulioiangalia hatutapata madhara yoyote kweli?
Mtoto wangu anapenda hiki kipindi hadi namshangaa wenzie wanataka katuni yeye analilia snake in the city...sijui hata anapendea niniHuyu anafaa kuwa pet snake anavutia sana,unamuweka kwenye kikabati cha kioo anakua kivutio sebuleni..btw niliacha kuogopa nyoka baada ya kungalia kile kipindi cha "Snake in the city" National geographic channel..kumbe ni viumbe hawana tabu na mtu..๐คฃ
Mleta mada umetudharau sana. Hata mtoto huwezi kumdanganya kijinga hivyo. Eti nyoka hana jinsia, mara ukisikia harufu yake unapata madonda na kufa. Kafe mwenyewe! Araaa...Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
[emoji116]View attachment 2530182
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Moja ya big outlierMleta mada umetudharau sana. Hata mtoto huwezi kumdanganya kijinga hivyo. Eti nyoka hana jinsia, mara ukisikia harufu yake unapata madonda na kufa. Kafe mwenyewe! Araaa...
ze-dudu wa duduzi๐ค๐ค๐๐Sekunde 5 unazijua wewe???
Mshana Jr labda kama mshana atuambie ni nyoka wa ki mazingira๐ค๐ค๐ค๐๐Hii nadhani ni ya yule jamaa wa Moro kule FB ni muongo kapitiliza hizi fact zina walakini mkubwa
Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.