Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
250÷5=50Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
Ati anang'ata watu 50 kwa sekunde ana speed ya processor ya intel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
250÷5=50Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
Hata wangesubiri pia haiwezekani, labda jamaa haelewi maana ya sekunde,Mngekua mnasema mbuzi 250 sawa ila sio watu 250 wote wanasubiri kugongwa tuu na huyo nyoka ili waoze...
Chenye ncha kaliJamaa katupiga utosini na kitu kizito
Wewe toa jibu au msaada wako katika ilo swali, acha ujuaji wa watoto wa JF.True au false,utaua watu wakidhani ni first aid
Ngoja nikausome upya uzi. Isije ikawa nami nimeingia cha kikeniMkuu una uhakika anayezungumziwa hapo ni nyoka
Nilitegemea ungefungua code hapo utufafanulie
Binafsi mpaka sasa sijaamini na wala sitaki kuamini kama anayezungumziwa hapo ni Nyoka kama Nyoka
Yaani mkuu sixth sense yangu imegoma kabisa kuamini kama anayezungumziwa ni Nyoka mdudu
Alisikika bugabuga akiropokwaMbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
👇View attachment 2530182
Hata jini hana huo uwezo wa kuwauma watu 250 kwa sekunde tanoSasa huyo ni nyoka au Jini pepo? Amepatikana wapi?
Huyu Sasa ndio Shetani mwenyewe,Kwa Urembo huo Eva asingechomoa.
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
[emoji116]View attachment 2530182
Punguza Copy & Paste. Ujifunze kuchuja kidogo,Hapa Chai ndo nyingi kuliko ukweli.Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
[emoji116]View attachment 2530182
Umesahau kuandika kuwa "Ana meno ya Chuma"Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.
2. Ana rangi 26 mwilini mwake.
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.
4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.
5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.
6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.
7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.
8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.
9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.
10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.
11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.
12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
13. Hana jinsia yoyote.
14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.
NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.
👇View attachment 2530182
15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada