Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Screenshot_20230226-093126_Chrome.jpg
 
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.

1. Ana sumu inayoweza kuua ndani ya sekunde tano na mzoga ukaoza ndani ya dakika 10.

2. Ana rangi 26 mwilini mwake.

3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba.

4. Anaweza kung'ata watu 250 ndani ya sekunde tano na wote wakafa ndani ya sekunde hizo.

5. Ana urefu wa mita 25 yaani robo ya uwanja wa mpira wa miguu.

6. Anaweza kuruka kwa urefu wa mita 75 yaani robo tatu ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu.

7. Sehem aliyepita na kisha binadamu akapita kwa muda huo, anaweza kupalalaiz yaani akapata strock.

8. Anaweza kurusha mate na yakaenda urefu wa mita 100.

9. Anaweza kusikia na kuona kitu kilicho umbali wa kilomita 10.

10. Ukipata harufu yake unatoka vidonda kooni na baada ya siku chache utakufa.

11. Akishaua na akisikia sauti za vilio vya watu, anakuja karibu ya tukio kusikiliza kinacho endelea, akisikia mazungumzo kuwa atafutwe na auliwe yeye hugeuka upinde wa mvua kisha hupaa juu angani.

12. Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.

13. Hana jinsia yoyote.

14. Anatabia ya kulipiza kisasi pale alijeruhiwa. Hutoka msituni na kuja kuleta fujo mtaani.

15. Ana Iman ya dini na hujishughulisha na ibada.

NB: Asante, Kwa updates nyingine endelea kuwa nami.

👇View attachment 2530182
16. Pamoja uwezo wake wa kuua kwa haraka, ila anatabia za kususa, hasa akisemwa sana.

17. Wako 10 Dunia nzima, na huwa wanawasiliana kwa njia ya meditation mara 3 kwa mwaka.
 
Huu sasa ni uongo usiovumilika🤣
Hakika ni uongo usio vumilika, sababu hakuna nyoka mwenye hizo sifa alizoziandika, ila mwandishi kakidhi hitaji la hili jukwaa JF Chit-Chats and Jokes, tuipokee chai yake kama ilivyo.
=
1677393585403.png
 
Black Mamba Hana tabu ee
Huyu anafaa kuwa pet snake anavutia sana,unamuweka kwenye kikabati cha kioo anakua kivutio sebuleni..btw niliacha kuogopa nyoka baada ya kungalia kile kipindi cha "Snake in the city" National geographic channel..kumbe ni viumbe hawana tabu na mtu..🤣
 
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba

Maajabu hayo, haijawahi kutokea kiumbe kimoja kubadilika kwenda kingine Tena tofauti kabisa
 
Jana Simba imeshinda goli moja kwa wale wasioangalia mpira
 
Mkuu una uhakika anayezungumziwa hapo ni nyoka

Nilitegemea ungefungua code hapo utufafanulie

Binafsi mpaka sasa sijaamini na wala sitaki kuamini kama anayezungumziwa hapo ni Nyoka kama Nyoka

Yaani mkuu sixth sense yangu imegoma kabisa kuamini kama anayezungumziwa ni Nyoka mdudu
Hakuna chords hapo Mamujay kaingizwa chaka na huyo mwana wa Moro ni muongo sana huko FB nikipata story zake nyingine nitaweka hapa
 
Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.[emoji1542][emoji1542][emoji1542]Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
 
Watu 250 kwa sekunde 5
Au Mimi ndo sijaelewa hiyo namba 4
 
Hakuna ukweli wowote hapo... et anasikiza mnazungumza nini😂😂😂🙌
 
16. Pamoja uwezo wake wa kuua kwa haraka, ila anatabia za kususa, hasa akisemwa sana.

17. Wako 10 Dunia nzima, na huwa wanawasiliana kwa njia ya meditation mara 3 kwa mwaka.
Ulikwenda ibadani Leo?
 
Back
Top Bottom