Nyolodo Nongwa! Kuna msela flani hivi ndani ya dera hapo jijini kautaka

Nyolodo Nongwa! Kuna msela flani hivi ndani ya dera hapo jijini kautaka

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,206
Reaction score
27,987
Sometimes huwa najiuliza, kwa nn Nature inafeli kufata mkondo wake. Unakutana na jimama au jidada lina mitikasi, identity na personality na kiume kabisa. Kuanzia roho, akili na kiasi cha ujeuri kiko juu sana yani aggresive sio poa.

Leo nimejidhatiti kulipandia boti kulifata hukohuko dar mana limenikomalia kuwa linautaka. Yani moto juu ya moto! Na jinsi lilivyopania na mm nalipania! Nimebeba vifaa vyote yani. Marash ya kisiwani, mafuta flan hv ya haububa na al-uudi. Yan nasema kesho hapo dar kazikazi tu!

Na muda huu niko Kizimkazi nasubiria boti nije jijini.

Nyolodo

IMG-20260622-WA0129.jpg
IMG-20260622-WA0127.jpg
 
Anayeenda vitani hatangazi silaha atakayoitumia vitani. Hii yako we pambana nayo na uje utupe mrejesho maana sio kwa kujiandaa huko.
Yan mkuu silaha zinatangazwa na kivumbi vitani cha kutosha! Yeye aandae za kwake na mm nimejiandaa

Mtanange uko pale kigamboni kesho
 
mda ni saa ngapi maana kumekuchaa na mtananga n leo
Nimeghair mkuu, kumbe boti za Kizimkaz to kunduchi kuuza roho hapq nina kiwewe cha kunusurika. Mqnq nlkuwa nauza roho pale leo shoo haiwezekan mpaka nikae sawa
 
Nimeghair mkuu, kumbe boti za Kizimkaz to Makunduchi kuuza roho hapq nina kiwewe cha kunusurika. Mqnq nlkuwa nauza roho pale leo shoo haiwezekan mpaka nikae sawa
pole. Kanda tu utakua sawa au utatafuta mbadala wake
 
Back
Top Bottom