sijambo!Hujambo?
Yan mkuu silaha zinatangazwa na kivumbi vitani cha kutosha! Yeye aandae za kwake na mm nimejiandaaAnayeenda vitani hatangazi silaha atakayoitumia vitani. Hii yako we pambana nayo na uje utupe mrejesho maana sio kwa kujiandaa huko.
vip utarushwa live channel ipiYan mkuu silaha zinatangazwa na kivumbi vitani cha kutosha! Yeye aandae za kwake na mm nimejiandaa
Mtanange uko pale kigamboni kesho
mda ni saa ngapi maana kumekuchaa na mtananga n leoHapahapa jf naenda viral
pole. Kanda tu utakua sawa au utatafuta mbadala wakeNimeghair mkuu, kumbe boti za Kizimkaz to Makunduchi kuuza roho hapq nina kiwewe cha kunusurika. Mqnq nlkuwa nauza roho pale leo shoo haiwezekan mpaka nikae sawa