4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
-
- #41
Kweli ,ila huwa hawamwambii ukweliOyaa, ukweli ni kwamba, Nchi hiii Ndani ya CCM anayekubalika ni MAKONDA.
Uliona Samia kaingia Wilaya Fulani,, wewe jua kwamba ,MA Bus yamesomba watu usiku kucha kutoka Wilaya mbalimbali.
SAMIA SULUHU HANA HUO MVUTO, HANAAA!! NA HAO WANAOSOMBWA NI WANA CCM.
Hii ni biashara ya utumwa kabisa!!Kuna hawa wa kusombwa kama mifugo toka vijijini
Ongeza wanafunzi.Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.
Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.
Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini
300×2=600
Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.
Hivyo ukichukua
100+600=700
Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100
Hivyo chukua 1
100+700=800
Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200
Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .
Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.
Kuna mdau alisha onngeza nyomi hii mkuu ya wanafunzi na walim,Ongeza wanafunzi.
Mizigo inatangulizwa kwa malori kwanza, kisha huku jukwaani inajisifu,taabu kwelikweli.Kuna hawa wa kusombwa kama mifugo toka vijijini
Nimecheka kijinga sana mkuuMizigo inatangulizwa kwa malori kwanza, kisha huku jukwaani inajisifu,taabu kwelikweli.
Mkuu,kwa zama hizi ,kuwa na jamii ya watu wenye mawazo finyu hivi,wanaoshabikia na kusifu ujinga,NI JANGA KWA TAIFA,tutachelewa sana kufika.Nimecheka kijinga sana mkuu
Bado kundi la wanafunZi... Bado la Boda Boda... Bado wale wanasombwa kwa malori ya mchanga na Mkapa!Apo bado kundi la walimu wanao lazimishwa kwenda kwenye mikutabo bila kupenda
JF is no longer of GT!Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.
Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.
Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini
300×2=600
Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.
Hivyo ukichukua
100+600=700
Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100
Hivyo chukua 1
100+700=800
Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200
Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .
Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.
Wengi wao wanakuja hata wenyewe hawajui wanakuja kufanya nini,Bado kundi la wanafunZi... Bado la Boda Boda... Bado wale wanasombwa kwa malori ya mchanga na Mkapa!
Anyways, wingi wa watu si hoja. Hoja ni je wanaokuja kwenye mapokezi hali zao zikoje?
GT = HTJF is no longer of GT!
Mkuu unachelewa kufika na nani ? Wahi tutakukutaMkuu,kwa zama hizi ,kuwa na jamii ya watu wenye mawazo finyu hivi,wanaoshabikia na kusifu ujinga,NI JANGA KWA TAIFA,tutachelewa sana kufika.
Hili nalo likatazamwe, msemo mkubwa sana , kwamba ukikutana na ccm kama ni safari hairisha fasta, safari sio salama😃😀😃😀CCM ni mkosi
Na wakifika wanaishia kuwa brainwashed!Wengi wao wanakuja hata wenyewe hawajui wanakuja kufanya nini,