Nyomi katika mikutano ya mwenyekiti CCM, robo 3 ni watu wake katika msafara. Hesabu hii hapa

Oyaa, ukweli ni kwamba, Nchi hiii Ndani ya CCM anayekubalika ni MAKONDA.

Uliona Samia kaingia Wilaya Fulani,, wewe jua kwamba ,MA Bus yamesomba watu usiku kucha kutoka Wilaya mbalimbali.

SAMIA SULUHU HANA HUO MVUTO, HANAAA!! NA HAO WANAOSOMBWA NI WANA CCM.
Kweli ,ila huwa hawamwambii ukweli
 
Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Andiko hili litakua fupi sana.

Hesabu huwa haidanganyi ,

Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.

Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.

Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini

300×2=600

Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.

Hivyo ukichukua
100+600=700

Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100

Hivyo chukua 1

100+700=800

Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200

Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .

Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.
Ongeza wanafunzi.
 
Jumlisha na washamba wanaokuja kuangalia migari ya ikulu na protokali za tiss wakasimuliane miwani na bastola za tiss kwamba ni ya CIA na wapuuzi wengine wengi plus wafanyabiashara ndogondogo ambao wako upinzani ila wanatumia hiyo mikutano ya ccm kama fursa ya kibiashara.
 
Mnaumia nn ndo maana wanaume tunawahi kufa🤣
Hyo nyomi ndo kura zenyewe sasa
 
Apo bado kundi la walimu wanao lazimishwa kwenda kwenye mikutabo bila kupenda
Bado kundi la wanafunZi... Bado la Boda Boda... Bado wale wanasombwa kwa malori ya mchanga na Mkapa!

Anyways, wingi wa watu si hoja. Hoja ni je wanaokuja kwenye mapokezi hali zao zikoje?
 
Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Andiko hili litakua fupi sana.

Hesabu huwa haidanganyi ,

Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.

Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.

Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini

300×2=600

Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.

Hivyo ukichukua
100+600=700

Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100

Hivyo chukua 1

100+700=800

Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200

Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .

Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.
JF is no longer of GT!
 
Bado kundi la wanafunZi... Bado la Boda Boda... Bado wale wanasombwa kwa malori ya mchanga na Mkapa!

Anyways, wingi wa watu si hoja. Hoja ni je wanaokuja kwenye mapokezi hali zao zikoje?
Wengi wao wanakuja hata wenyewe hawajui wanakuja kufanya nini,
 
Mkuu,kwa zama hizi ,kuwa na jamii ya watu wenye mawazo finyu hivi,wanaoshabikia na kusifu ujinga,NI JANGA KWA TAIFA,tutachelewa sana kufika.
Mkuu unachelewa kufika na nani ? Wahi tutakukuta
 
Back
Top Bottom