Nyomi katika mikutano ya mwenyekiti CCM, robo 3 ni watu wake katika msafara. Hesabu hii hapa

Naona uko sahihi vile+wasanii 100 +wanaokwenda Kwa ajili ya kuwaona wasanii tu 100 +watoto 200=1300+ madereva 300=1600
 
CCM wanayajua yote hayo na 2025 watahangaika sana hawa jamaa, Jiwe alipiga Jiwe na mwisho kuizika rasmi CCM kabla hajaondoka Duniani.
 
Wanafunzi mana lazima shule zote zifungwe na walimu na watu wa halamshauri ya sehemu husikaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wasanii ndio sumaku ya kujaza watu kwenye mikutano. Mafuriko ya watu wengi wanakuja kuona wasanii wakubwa bure.
 
Kuna watu mnafikiri aisee πŸ€”
Yale magari tuliyohesabu zaidi ya 120, kila gari watu watano minimum( si unajua mafuta ya bure) unapata watu karibu 800. Plus wajumbe na mabalozi ambao lazima wahudhurie kwa maelekezo.
 
Wanafunzi mana lazima shule zote zifungwe na walimu na watu wa halamshauri ya sehemu husikaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kwa mikoni pekee shule moja ya msingi inajaza takribani 300 hadi 500 na siku ya ugeni wa kotaifa huwa hawasomi na walimu wanapumzika siku hiyo ni kama Outing na wanafunzi wanafurahi sana. Hivyo shule mbili tatu za karibu zinamwagwa zote.
 
Yale magari tuliyohesabu zaidi ya 120, kila gari watu watano minimum( si unajua mafuta ya bure) unapata watu karibu 800. Plus wajumbe na mabalozi ambao lazima wahudhurie kwa maelekezo.
Kweli kabisa, Nashangaa mbna watu nyomi na mtaani kila mtu busy na kazi.. anasema siwezi acha mambo yangu kufuata ujinga.
 
Kweli kabisa, Nashangaa mbna watu nyomi na mtaani kila mtu busy na kazi.. anasema siwezi acha mambo yangu kufuata ujinga.
Wapambe wanamdanganya mama, bora kwenda sehem ukakutana na watu 10 ,then unajua namna ya kujipanga ,kuliko tengenezewa nyomi bandia , ningekua mimi machawa ningewavulumisha wajute
 
Ukijumlisha na vibaka wanaokwenda kupora simu za watu 4000+100=4100 nyomi tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…