Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona uko sahihi vile+wasanii 100 +wanaokwenda Kwa ajili ya kuwaona wasanii tu 100 +watoto 200=1300+ madereva 300=1600Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.
Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.
Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini
300×2=600
Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.
Hivyo ukichukua
100+600=700
Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100
Hivyo chukua 1
100+700=800
Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200
Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .
Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.
Umemaliza mkuuNaona uko sahihi vile+wasanii 100 +wanaokwenda Kwa ajili ya kuwaona wasanii tu 100 +watoto 200=1300+ madereva 300=1600
Kura zake ukitaka kuzijua hata kabla ya sanduku la kura ni simpleNa hao ndio wapiga kura wake 🐒
Wengi wanasombwa na matipa ya mchangapamoja na wanafunzi wao na wenyeviti wa mitaa+mabalozi nyumba 10
Wanafunzi mana lazima shule zote zifungwe na walimu na watu wa halamshauri ya sehemu husika😃😃😃Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm anakubalika, wakati sio kweli.
Ukweli wa mambo katika nyomi wanayosema wenda robo tatu ni watu anaokua nao kwenye msafara wake kwa hesabu ya kawaida tu.
Chukulia msafara wa magari ni 300, apa namanisha jumla ya magari ya viongozi na idara zote katika mkoa, plus mawaziri, plus wa mwenyekiti mwenyewe, na chukulia kila gari iwe na watu 2 kwa wastani wa chini
300×2=600
Kwa idadi iyo apo juu jumlisha askari kanzu (kutoka vyombo vya ulinzi ) ambao ujichanganya kwenye nyomi, wastani wa chini tuseme 100.
Hivyo ukichukua
100+600=700
Kuna viongozi wa chama chake katika mkoa husika lazima wawepo katika mikutono yake hasa wa kuanzia wilaya mpaka mkoa wastani wa chini 100
Hivyo chukua 1
100+700=800
Kwa idadi tajwa hapo juu namanisha watu 800 tiyari ni mkutano mkubwa tu, na kwa idadi tajwa hapo juu jumlisha watu wa kubebwa kwanye malori wastani wa chini 200
Hivyo inakuwa
200+800=1000 nyomi tiyari ,kinachobakia ni wapambe kupiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii .
Mwisho
Machawa wote waione kwenye meza zao.
Kweli asiee yaani Mwenyekiti bila kujua anahutubia watu wale wale ambao yuko nao msafara mmoja.Yaani mtu unaweza kuwa na matatizo lkn ukashangaa unacheka tu bila sababu.
Yale magari tuliyohesabu zaidi ya 120, kila gari watu watano minimum( si unajua mafuta ya bure) unapata watu karibu 800. Plus wajumbe na mabalozi ambao lazima wahudhurie kwa maelekezo.Kuna watu mnafikiri aisee 🤔
Kwa mikoni pekee shule moja ya msingi inajaza takribani 300 hadi 500 na siku ya ugeni wa kotaifa huwa hawasomi na walimu wanapumzika siku hiyo ni kama Outing na wanafunzi wanafurahi sana. Hivyo shule mbili tatu za karibu zinamwagwa zote.Wanafunzi mana lazima shule zote zifungwe na walimu na watu wa halamshauri ya sehemu husika😃😃😃
Kweli kabisa, Nashangaa mbna watu nyomi na mtaani kila mtu busy na kazi.. anasema siwezi acha mambo yangu kufuata ujinga.Yale magari tuliyohesabu zaidi ya 120, kila gari watu watano minimum( si unajua mafuta ya bure) unapata watu karibu 800. Plus wajumbe na mabalozi ambao lazima wahudhurie kwa maelekezo.
Upo sahii sana mkuuCCM wanayajua yote hayo na 2025 watahangaika sana hawa jamaa, Jiwe alipiga Jiwe na mwisho kuizika rasmi CCM kabla hajaondoka Duniani.
Nani amekataa kwamba sio wapiga kura , elewa wote tajwa hapo juu unaweza kuta nusu ndo wanampigia kura , elewa kura ni siri ya mtuJe sio wapiga kura?
Maana mnashindwa kuelewa
Wapambe wanamdanganya mama, bora kwenda sehem ukakutana na watu 10 ,then unajua namna ya kujipanga ,kuliko tengenezewa nyomi bandia , ningekua mimi machawa ningewavulumisha wajuteKweli kabisa, Nashangaa mbna watu nyomi na mtaani kila mtu busy na kazi.. anasema siwezi acha mambo yangu kufuata ujinga.