NYON, USWIZI: Droo ya Ligi ya UEFA; Bayern v R.Madrid, Liverpool v Roma! Droo ya EUROPA League; Arsenal apewa Atletico




Champions League semi-finals: Liverpool v Roma, Bayern Munich v Real Madrid
 
Arsenal sikio la kufa! Sijui kwamba ikuwaje kwa Atletico Madrid......possibility kubwa Arsenal nje!
 
madrid anapangiwa mifupa kinyama
Ila bado anatoboa, uefa ndio 'tatizo'. Wanaijenga sana madrid kwa kuopambanisha na mabingwa wengi wa nchi zingine. Inafika mahali wanazoea kupambana na walio juu kabisa.
 
awajamaa wanaopanga awajawai kutenda haki katka droo zao ***** zao pamoja na perez
Sema nani kaonewa na nani kapendelewa..mimi ninavyofahamu timu yoyote inayofika hatua ya robo fainal sio ya kuibeza, cha msingi kila timu ipambane ifike hatua inayofuata..huku kulialia kuwa furan kapangiwa kibonde ni kuzishusha hizo timu nyingine
 
madrid anapangiwa mifupa kinyama
Nadhan unavyosema mifupa unamaanisha anapangiwa timu ngumu..ila kuna wengine humu humu kwenye uzi huu wanatafautiana na wewe wanaona kama Madrid atapendelewa na kupangwa na kibonde ili azid kusonga mbele kitu ambacho sio sahihi..kila timu iliyobaki ni bora kwa msimu huu hakuna ya kuibeza..
 
Liverpool hata mimi nilimtamani tumlambe wanajiamini sn.

Kumtoa city imekuwa nongwa sana sasa tukutane fainal Tuwape dawa.
 
26 april tuta angalia mpira ikulu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Los blancos lazima waone cha moto raundi hii, Bayern hawezi kukubali kizembezembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…