NYON, USWIZI: Droo ya Ligi ya UEFA; Bayern v R.Madrid, Liverpool v Roma! Droo ya EUROPA League; Arsenal apewa Atletico

Liverpool hata mimi nilimtamani tumlambe wanajiamini sn.

Kumtoa city imekuwa nongwa sana sasa tukutane fainal Tuwape dawa.
Waingereza na mashabiki wa liver wanaamini Mancity ni timu bora kabisa duniani kwa sasa hivyo kuitoa kwa goli za kutosha basi kunawapa wao uwezo wa kumfunga yeyote ila hawajui kuwa mancity haijawahi hata fika nusu fainali ya uefa champions league.
Hivi hata mchezaji mmoja mmoja, unawezaje walinganisha na kina Ronaldo, Modric, Casemiro, Marcelo, Verane, etc na kina Salah, Mane, Firmino, etc ambao hata hawajashinda vitu.

Napenda wakutane na Real fainali wapewe somo, tena inaweza kuwa fainali moja ya one sided sana!!
 
Kwa tunaojua mpira na pia tumeshawahi kuucheza kwa Viwango vyetu halafu ni wafuatiliaji na wachambuzi wa masuala mbalimbali hadi yahusuyo Mchezo wa Mpira wa miguu katika Timu Nne zilizofuzu Semi Finals na uwepo wa Timu ngumu na ya ' Kiume ' kabisa ya Liverpool FC huhitaji kupoteza mno muda wako kujua ya kwamba iwe isiwe Kombe la Champions League la 2017/2018 linabebwa na Liverpool FC ambayo nina uhakika itakutana FC Bayern Munchen Fainali huko.
 
Liverpool wako vzr ila sio wa kutisha dunia..

Ni muda tu utaongea
 
Sawaa trh 24 sio mbali tusubiri mkuu.
 
Vijana wa 40s na late 30s mnapenda sana kujipa moyo.
 
Katika uchambuz huu Umeweka ushabiki ila ukiutoa jamaa uko vzr.
 
MIMI NAAMINI FAINALI INACHEZWA NUSU FAINALI, BINGWA WA NUSU FAINALI NDIO ATAKUWA BINGWA WA UCL.

KARATA YANGU MAIWEKA KWA REAL MADRID.
 
KOTE, UEFA NA EUROPA fainali zimepangwa mapema. amabao wanasifa za kukutana fainali wamekutanishwa mapema mno nusu fainali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…