NYON, USWIZI: Droo ya Ligi ya UEFA; Bayern v R.Madrid, Liverpool v Roma! Droo ya EUROPA League; Arsenal apewa Atletico

watu mnawadharau sana AS ROMA, kumbukeni ndo kamtoa mfalme wenu Messi .
 
!
!
Madrid atapita kiulaini sana. Bayern ya miaka mitatu nyuma ilikuwa balaa sana. Hii ya sasa Haina makali sana.
Roma ni timu ya kuiogopa kwa sasa. Sina uhakika kama Liverpool itatoboa.
Nadhani Madrid atabeba ndoo kwa Mara ya tatu
 
Nami napenda Liver awavae Madrid
 
Nitajie waliofika nusu fainali msimu uliopita wa club bingwa.
 

My take
:
Natamani Liverpool akutane na Real Madrid, Arsenal apewe Atletico

Ni Liverpool vs Bayern Munchen ktk fainali za Mei, 26/2018 ....

Kuna uwezekano mkubwa kuwa, mwisho wa Real Madrid ni pale Allianz Arena na Santiago Bernabou itakuwa ni ku sign - off tu

Kwa AS Roma dhidi ya Liverpool FC, ni wazi Liverpool atapasua kwa kuangalia historia na viwango vya ubora vya timu. Liverpool wako vizuri zaidi ya AS Roma!!
 
Real Madrid Vs Atletico Madrid
Juventus Vs Monaco
Ok uko sawa, nilisahau kidogo. Ila msimu wa 2015/16 semi final man city aliingia na alipangwa na real madrid, akatolewa kwa gili moja.
Sasa unaposema kuwa man city hawajawai fika nusu fainali ya ucl huwa napata mashaka sana na statement yako
 
Ok uko sawa, nilisahau kidogo. Ila msimu wa 2015/16 semi final man city aliingia na alipangwa na real madrid, akatolewa kwa gili moja.
Sasa unaposema kuwa man city hawajawai fika nusu fainali ya ucl huwa napata mashaka sana na statement yako
Ok.
Yawezekana nilisahau hilo kutokana na rekodi yao mbovu ulaya ila hiyo pekee haliifanyi Mancity kuwa kigogo wa ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…