NYON, USWIZI: Droo ya Ligi ya UEFA; Bayern v R.Madrid, Liverpool v Roma! Droo ya EUROPA League; Arsenal apewa Atletico

NYON, USWIZI: Droo ya Ligi ya UEFA; Bayern v R.Madrid, Liverpool v Roma! Droo ya EUROPA League; Arsenal apewa Atletico

Arsenal tukimfunga simion
Kombe tumebeba
 
Waingereza na mashabiki wa liver wanaamini Mancity ni timu bora kabisa duniani kwa sasa hivyo kuitoa kwa goli za kutosha basi kunawapa wao uwezo wa kumfunga yeyote ila hawajui kuwa mancity haijawahi hata fika nusu fainali ya uefa champions league.
Hivi hata mchezaji mmoja mmoja, unawezaje walinganisha na kina Ronaldo, Modric, Casemiro, Marcelo, Verane, etc na kina Salah, Mane, Firmino, etc ambao hata hawajashinda vitu.

Napenda wakutane na Real fainali wapewe somo, tena inaweza kuwa fainali moja ya one sided sana!!
Mpira umeanza kuangalia lini. Manchester city hajawahi kuingia nusu fainali are you serious?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba nikukumbushe kama ulikua tayari umeanza kufuatilia mpira wa ulaya na kama bado naomba nikujuze Manchester city alifika nusu fainali na kutolewa na real Madrid msimu wa 2015-2016.
20180414_085347.jpg
 
Umeanza kushabikia mpira msimu uliopita, sio kosa lako.
Siidharau Mancity, ila rekodi HAZIDANGANYI, ulaya ni wachovu na pia rekodi hazidanganyi, REAL NDIO KINGS OF EUROPE, hutaki acha!!
Kingdoms are conquered bro!
 
Mimi na😀😀 tu maana sijui lolote hapo kwa madrid vs liverpool sijui itakuwaje😀😀😀
 
Back
Top Bottom