OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la kawaida, na kusababisha "kushindwa kuendelea na mchakato wa leba" kwa sababu za kiufundi.
Tahadhari isipochukuliwa, matokeo yake ni 'uzazi pingamizi (Obstructed labour)' ambayo inaweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto.
Tahadhari isipochukuliwa, matokeo yake ni 'uzazi pingamizi (Obstructed labour)' ambayo inaweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto.