Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.