Acha utoto mliahidi 2015-20 kwamba meli 5 zitaleta ajira direct na indirect elfu 40..... Zimefia wapi?
Kilimo cha kisasa mlidai mtafikisha zaidi ya hekta million 2 kutoka laki 4 hvi..... Mnatuona watoto wadogo sana eeh?
Unajua katiba ya warioba iliweka provision ya kuwajibisja waongo kwa kutumia ilani zao kma KPI zao. Haiwezekani mnaahidi hamtekelezi alafu mje hapa kujisifu upuuzi.
Nlifurahi sama uchambuzi wa Zitto na Matiko na kuonyesha kwa takwimu kwamba utekelezaji wa ilani ni chini ya 30%.... Ile hoja haikuwahi jibiwa mpaka leo. Nashanhaa wapiha vigele gele mnalish
Bajeti ipi haikutosha? Issue hapa ni ahadi isiyotekelezeka.... Mbona ndege mmenunua kwa cash hta meli moja ya uvuvi iliwashinda?
Anyway kilimo cha kisasa mlichoahidi kukipandisha kwa zaidi ya 70% mmefikia wapi? Au bajeti haikutosha ila imetosha kujenga uwanja wa chato?
Unajua nchi yetu hii tuna tatizo la vipaumbele...... Hivi hayo mabilion ya chato au kuhamisha mbuga kwenda Bugiri yangewekezwa kwenye kilimo kwanza tungekuwa wapi sahvi?