zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Linalipika wakati makusanyo ni 13% ya GDP more so ilipaswa ifike 30% on a good day.Unapost kama unapapasa kamanda. Mahusiano na wahisani ni mabaya? Deni kukua huku linalipika kuna tatizo?

Madeni tu ya wazabuni na baadhi ya wakandarasi serikali imeshindwa kulipa! Itawezaje kuongeza mishahara kwa watumishi wakati waalimu na maaskari wanaidai mabilioni ya pesa? Halafu miradi gani ya kimkakati iliyokwisha? Reli ya dar Moro bado ni mtihani labda itaisha mwaka 2024!Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
nakushauri tafuta duka linalouza akili ukanunue, tofauti na hapo unakoelekea kwa akili hizo utakuwa mtu wa kudharauliwa milele.Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Bora umemwambiaUnapokuwa unaongea vitu uwe unatumia akili
Nyongeza gani inafanyika baada ya miaka 5?Hilo ni deni mlilodhulumu watumishi.Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Hili ni tatizo kwa taifa,how old are you?Hapo ulipo 50 mil ya kila kijiji imekufikia bila kujua.
Inaonekana katumwa huyuBora umemwambia
Mrefu unaanzia wapi hadi wapi? Ulishahakiki watumishi na hawalipi madai yao ukiulizwa unasema unajenga madaraja sijui ujinga ujinga gani???Kutolipwa mishahara sio kwamba hawatalipwa. Kumbuka mchakato wa serikali kulipa madeni mrefu sana.
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati
Hamna kitu hapoTunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
KUWA MKWELI WEWE DADA, UFISADI AWAMU YA5 NI KAMA UJI NA MGONJWA!Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Hivi Lissu yupo wapi jamani?je Membe nae?Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua.
Hao jamaa wa ufipa kwishilia mbali.Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Hilo likitokea hata shetani watashangaa imewezekanaje na kimetokea nini.Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichukua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Hizo ni baadhi tu ya huduma za msingi ambazo ni wajibu wa serikali kwa watu wake ,wala hivyo sii vitu vya kujisifia kama tunavyo jaribu kuvitumia kuwahadaa wasiojua.Mradi wa maji Isaka to Tabora na stendi ya mabasi Mbezi.
Hazipo zingekuwepo tusinge sh hudia tuyaonayo hii Leo.Kwa kweli.. Kila mfanya kazi aliyetumikia kwa miaka mitatu bila kupanda daraja, apande daraja moja.. Wale waliokaa miaka mitano and above bila kupanda daraja, wapande madaraja mawili. Fedha zipoo!
Bora ungenyamaza kuficha ujinga wako!Kutolipwa mishahara sio kwamba hawatalipwa. Kumbuka mchakato wa serikali kulipa madeni ni mrefu sana.