holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,204
We unadhani itakuaje endapo jiwe asipolipwa mshahara na posho kwa miezi 3....??Nimuambia huyu dogo kuwa 98% ya watumishi wa umma hawakupata mishahara ya mwanzo akadhani ninamtania.Utumishi wa umma ni kujitolea.