Acha kudanganya watu wewe. Mishahara itapandishwa Chato ikishakuwa jiji.serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Kama watasema hivyo. Kwa nini wasitoe.Kama wameshindwa kuajiri graduates 1M na kuendelea unafikiri hiyo pesa ndo watatoa?
Kama wameshindwa kuwalipa walimu waliosahihisha mitihani ya NECTA mpaka sasaKama watasema hivyo. Kwa nini wasitoe.
Ndio kipindi hawajaongeza maslahi kwa watumishi ili kuepukana na hilo.
Unawezapandisha mtu mshahara but humlipi. Hapo ni sawa na sifuri.
Kwa hio kama wakiamua kuongeza maana yake pesa iko.
Kutolipwa mishahara sio kwamba hawatalipwa. Kumbuka mchakato wa serikali kulipa madeni ni mrefu sana.Kama wameshindwa kuwalipa walimu waliosahihisha mitihani ya NECTA mpaka sasa
Je, hiyo pesa ndio watatoa?
Je, wajua kua ajira mpya mpaka sasa baadhi yao hawajalipwa mshahara?
Hivi ingekua ni wewe una mwezi wa tatu kazini huna mshahara wala pesa ya kujikimu unadhani unaishijeKutolipwa mishahara sio kwamba hawatalipwa. Kumbuka mchakato wa serikali kulipa madeni mrefu sana.
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali y CCM inampango inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Nadhani unaongea kitu ambacho huna uhakika nachoUliza mtumishi wa umma ambae alianza kupata mshahara bila kuwa na mapunjo ni 2%
Vijana now days mnadeka Sana miezi mitatu bila mshahara unaleta chuki zidi ya serikali watu walikaa miezi sita mpaka mwaka ndo salary inasoma lkn hawakuja na maneno kuikashfu serikali.Hivi ingekua ni wewe una mwezi wa tatu kazini huna mshahara wala pesa ya kujikimu unadhani unaishije
Siwezi kubishana na sisiemu mimiNaomba ujibu.
Nimuambia huyu dogo kuwa 98% ya watumishi wa umma hawakupata mishahara ya mwanzo akadhani ninamtania.Utumishi wa umma ni kujitolea.Vijana now days mnadeka Sana miezi mitatu bila mshahara unaleta chuki zidi ya serikali watu walikaa miezi sita mpaka mwaka ndo salary inasoma lkn hawakuja na maneno kuikashfu serikali.
Hakuna kitu kama hicho na kamwe hakitatokea,kikitokea tutawapa pongezi.Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali y CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka tril 36+ na moja ya kipaumbele kimojawapo ni kupandisha madaraja watumishi wa umma na mishahara.
Kwa jinsi mnavyopenda kiki hamtachelewa kusema Lissu alitoa hii hoja ya kuongeza mishahara na serikali imeichua. Mtajifanya mmesahau kuwa watumishi wa umma waliahidiwa kupandishwa mishahara pindi serikali ikikamilisha masuala muhimu hasa miradi mkakati.
Kwa chama kipi?Hapo ulipo 50 mil ya kila kijiji imekufikia bila kujua.
Mkuu 2015 mliahidi meli 5 ukanda wa pwani kwa ajili ya deep sea fishing??Hapo ulipo 50 mil ya kila kijiji imekufikia bila kujua.