Nyongeza ya mshahara inakuja. CHADEMA msidandie gari kwa mbele

Mfanyakazi anafurahia nyongeza ya mshahara, mfanya biashara analia na ongezeko la kodi ili mfanya kazi aongezewe mshahara, nae anapandisha bei ya bidhaa au huduma, mnunuzi au mtumiaji anatumia na kukamilisha vicious cycle of poverty!
 
Huoni hata aibu miaka mitano bila kuongeza mishahara chini ya magu leo unakuja na hoja ya serikali ya ccm kuongeza bajeti kwani kulishawahi kuwepo na Serikali zilizoongozwa na chadema,cuf,act,nccr-mageuzi au chama chochote?
 
Mfanyakazi anafurahia nyongeza ya mshahara, mfanya biashara analia na ongezeko la kodi ili mfanya kazi aongezewe mshahara, nae anapandisha bei ya bidhaa au huduma, mnunuzi au mtumiaji anatumia na kukamilisha vicious cycle of poverty!
Vicious cyle of poverty? Degree za kariakoo.
 
Wangeweka wazi kwanza utekelezaji wa bageti ya sasa I'll tuone kama wanaweza kuongeza hizo trion 2
 
Dada ujauzito utakua unakusumbua,[emoji870] tena
 
"Deni la taifa ni stahimilivu" Dk P Mpango, one of the best economist in Africa
Sustainable ni kwamba linapigwa hesabu as percentage of GDP sio makusanyo ya serikali..... Sasa kma makusanyo ni 13% ya GDP we unadhani ni sustainable mpaka lini?

Mind you makusanyo ya kila mwezi matumizi makubwa ni Wagebill na Kuservice madeni...... Kwahyo miradi inabidi tena ikope. Huo mzunguko utaenda mpaka mwisho kma hatutoweza kufikiri namna mpya ya kuchochea uchumi
 
Nashukuru umetambua kuwa aliyeanzisha hoja ni Lisu ila unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Deni la Taifa linazidi kukua tu kila uchao...CCM acheni kukopa kimya kimya hizi hela mtazilipa nyie? Afu at the background mnajidai eti nyie ni matajiri..tajiri gani huwa anajitangaza mtaani.
Ni maajabu kweli,hata Dangote huwezi kumsikia akisema yeye ni tajiri.
 
Naona umesahau kuwa bajeti yetu ni tegemezi unadhani kupanga tr. 36 kutasaidia wakati 40% ya bajeti unategemea misaada na mikopo kutoka kwa mabeberu.
 
Upuuzi mtupu
Baada ya miaka sita bila nyongeza wala kupandisha daraja leo una kenua kama zuzu kwa ahadi hewa
Fedha zitatoka wapi maana dili la kesi za uhujumu uchumi humkamati mtu tena huku walipa kodi TRA imewafilisi
Labda mtegemee faini za trafiki
Bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…